Hii hapa Timu itakayo cheza na Simba robo fainali ligi ya mabingwa - EDUSPORTSTZ

Latest

Hii hapa Timu itakayo cheza na Simba robo fainali ligi ya mabingwa

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Droo ya robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika imefanyika leo huko Misri ambapo Simba imepangwa kuchuana na mabingwa watetezi Wydad Athletic

Itakuwa mechi ya kibabe ambapo mechi ya kwanza itapigwa dimba la Benjamin Mkapa April 21-23 na marudiano kupigwa Morocco April 28-30

Kama Simba itafanikiwa kutinga nusu fainali, itachuana na mshindi wa mchezo kati ya CR Belouizdad dhidi ya Mamelodi Sundowns

RATIBA KAMILI

Simba vs Wydad Casablanca - QF1

Al Ahly vs Raja Casablanca - QF2

CR Belouizdad vs Mamelodi Sundown - QF3

JS Kabylie - Esperance - QF4

SEMI FANAL

QF4 vs QF2 - SF1

QF1 vs QF3 - SF2

FINAL

SF1 vs SF2Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz