Taarifa Mpya kutoka Simba - EDUSPORTSTZ

Latest

Taarifa Mpya kutoka Simba

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 
Kikosi cha Simba kimeondoka jiji la Casablanca kurejea Tanzania baada ya mchezo dhidi ya Raja Casablanca hapo jana


Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema mfasara umeondoka Casablanca, watapita Uturuki kisha kuunganisha ndege nyingine mpaka Ethiopia


Siku ya Jumapili wataondoka Ethiopia, wakiunganisha ndege hadi jijini Dar es salaamDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz