Taarifa Mpya kutoka Simba Jioni hii - EDUSPORTSTZ

Latest

Taarifa Mpya kutoka Simba Jioni hii

 

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Klabu ya Simba imethibitisha kurejea kikosini kwa kiungo mshambuliaji Augustine Okrah ambaye alikuwa nje kwa zaidi ya wiki nne baada ya kuvunjika kidole


Taarifa iliyotolewa na Simba, imebainisha kuwa leo Okrah ameshiriki mazoezi na wachezaji wengine kikamilifu


Aidha winga Kibu Denis nae afya yake imeimarika leo amejumuika na wenzake katika mazoezi


Kibu na Shomari Kapombe waliumia kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Raja Casablanca uliopigwa Jumamosi iliyopita


Simba imeingia kambini kujiandaa na mchezo wa robo fainali kombe la FA dhidi ya Ihefu Fc ambao utapigwa Ijumaa, April 07 katika uwanja wa UhuruDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz