Ratiba ya mechi za Yanga mwezi April 2023 - EDUSPORTSTZ

Latest

Ratiba ya mechi za Yanga mwezi April 2023

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Yanga inaweza kujihakikishia ubingwa wa ligi kuu ya NBC hadi kufikia mwishoni mwa mwezi huu kama itachanga karata zake vyema

Mwezi huu Wananchi wanakabiliwa na mechi mbili za Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar (April 11) na dhidi ya Simba (April 16)

Alama sita kutoka mechi hizi zinaweza kutosha kuwahakikishia Wananchi ubingwa wa 29 ambao utakuwa msimu wa pili mfululizo kwa Yanga kutwaa taji la Ligi Kuu

Kwani zitasalia mechi nne na Yanga itakuwa ikihitaji alama mbili kufunga hesabu

April 08 pia Yanga inakabiliwa na mchezo wa robo fainali kombe la Shirikisho la Azam dhidi ya Geita Gold ambao utapigwa uwanja wa Azam Complex

Lakini pia Wananchi watakuwa na mechi mbili za robo fainali michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz