Rivers United waomba mabadiliko ya uwanja mechi Yao dhidi ya Yanga - EDUSPORTSTZ

Latest

Rivers United waomba mabadiliko ya uwanja mechi Yao dhidi ya Yanga

Kupata Kifurushi cha bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Rivers United wameomba mchezo wa mkondo wa kwanza robo fainali kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Yanga upigwe katika uwanja wao wa nyumbani, Adokiye Amaesimaka


Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limefanya ukaguzi wa uwanja huo baada ya kufanyiwa ukarabati na sasa wanasubiri majibu kutoka CAF


Rivers United hawakutumia uwanja huo katika mechi zao za hatua ya makundi baada ya kuzuiwa na CAF ukiwa umekosa vigezo


Mchezo wa mkondo wa kwanza kati ya Rivers United dhidi ya Yanga utapigwa Jumapili April 23 huko Nigeria na marudiano kupigwa uwanja wa Benjamin Mkapa, April 30


Yanga imepania kupata ushindi wa jumla katika mechi zote mbili na kutinga nusu fainaliDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz