Rasmi: Yanga watangaza kumalizana na Mchezaji huyu - EDUSPORTSTZ

Latest

Rasmi: Yanga watangaza kumalizana na Mchezaji huyu

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Klabu ya Yanga imetangaza kumuongezea mkataba mlinzi wake mahiri Dickson Job


Tetesi zilikuwa nyingi kumuhusu Job lakini sasa ni rasmi, Job ni Mwananchi kwa miaka mingine miwili


Ahadi ya Rais wa Yanga Injinia Hersi Said ni kuwa hakuna mchezaji muhimu ambaye Kocha Nasreddine Nabi atapendekeza kumuhitaji ataondoka.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz