Matokeo Aston Villa vs New castle Leo Jumamosi - EDUSPORTSTZ

Latest

Matokeo Aston Villa vs New castle Leo Jumamosi

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Ollie Watkins amendeleza kiwango chake kizuri kwa kufunga mabao mawili huku Aston Villa wakiimarisha matumaini yao ya kushiriki Uropa kwa ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Newcastle


Ulikuwa ushindi wa tano kwa Aston Villa kushinda katika Uwanja wa Villa Park


Watkins alikuwa mwiba kwa safu ya ulinzi ya Newcastle kwani angeweza kuondoka na hat-trik kama bao lake lake la kwanza lisingekataliwa na VAR 


Kikosi cha Unai Emery kilitawala hatua za awali na kuchukua uongozi uliostahili wakati Jacob Ramsey alipopiga mpira wa kichwa wa Watkins chini kabisa wavuni.


Aston Villa wamepanda mpaka nafasi ya sita kwenye msimamo wa ligi wakiwa alama sita tu nje ya top four baada ya kufikisha alama 50Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz