Mudathir Yahya ashinda Goli Bora la Makundi CAF CC

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Bao alilofunga kiungo wa Yanga Mudathir Yahya katika mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya TP Mazembe, limeshinda tuzo ya goli bora la hatua ya makundi katika kombe la Shirikisho


Mudathir alipachika bao hilo katika mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa akipokea pasi murua kutoka kwa Kennedy Musonda katika mchezo ambao Yanga ilishinda mabao 3-1


Jumla ya kura 84, 166 zilipigwa katika ukurasa wa CAF wa Twitter, Mudathir akipata asilimia 70.5 ya kura zote

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post