Matokeo Simba Queens vs Fountain Gate princess leo Jumatano - EDUSPORTSTZ

Latest

Matokeo Simba Queens vs Fountain Gate princess leo Jumatano

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Simba Queens imefanikiwa kuondoka na alama zote tatu katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma baada ya kuichapa Foutain Gate Princess mabao 2-1 katika mchezo wa vita ya wababe katika msimamo wa ligi


Simba Queens ilihitaji dakika 30 za mwisho kupata ushindi huko ikitokea nyuma kwa mabao ya Jentrix Shikangwa na Ruth Ingosi aliyefunga kwenye dakika za jioni kabisa


Ushindi huo umeisogeza Simba Queens kwenye nafasi ya pili katika msimamo baada ya kufikisha alama 30 nyuma ya JKT Queens yenye alama 31 ikiongoza ligi


Fountain Gate Princess imeshuka mpaka nafasi ya tatu ikiwa na alama 29Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz