Matokeo Yanga princess vs Baobab queens leo April 20,2023 - EDUSPORTSTZ

Latest

Matokeo Yanga princess vs Baobab queens leo April 20,2023

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Baada ya mwenendo usioridhisha katika mechi kadhaa zilizopita, Yanga Princess leo imerejesha ari ya ushindi baada ya kuichapa Baobab Queens mabao 2-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Uhuru


Cuta na Blessing Nkor walifunga mabao ya Yanga Princess ambao yamewafanya Wananchi wafikishe alama 25 katika nafasi ya nne


Yanga Princess inayonolewa na kocha wa muda Fred Mbuna imepania kumaliza msimu kwa heshima kwani nafasi ya kutwaa ubingwa ni finyu


JKT Queens wanaongoza ligi wakiwa na alama 34, alama tisa zaidi ya Yanga Princess huku zikiwa zimesalia mechi nne ligi kumalizikaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz