Match day: Tp mazembe vs Yanga - EDUSPORTSTZ

Latest

Match day: Tp mazembe vs Yanga


Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Hatua ya makundi michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika inahitimishwa leo kwa timu zote 16 kushuka dimbani


Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC Yanga ambao ni vinara wa kundi D, leo wako ugenini huko Lubumbashi DR Congo kuikabili TP Mazembe


Mchezo huo utakaopigwa majira ya saa 10 jioni kwa saa za Tanzania (saa 9 DR Congo), utakuwa wa kukamilisha ratiba tu kwa TP Mazembe kwani matokeo yoyote hayana athari kwao


Lakini kwa upande wa Yanga, ushindi unaweza kuwahakikishia Wananchi kumaliza makundi wakiwa vinara wa kundi D. Yanga tayari imefuzu hatua ya robo fainali


Yanga ilipata siku mbili za kujiandaa huko Lubumbashi ikikamilisha mazoezi ya mwisho katika uwanja wa TP Mazembe jana jioni


Kikosi cha Yanga leo kitaongozwa na Kocha Msaidizi Cedric Kaze baada ya Kocha Mkuu Nasreddine Nabi kushindwa kusafiri kutokana na matatizo ya kifamilia


Kaze amewahakikishia mashabiki wa Yanga kuwa timu yao iko kamili kuwania ushindi katika mchezo huo unaoarajiwa kuwa na upinzani mkali

Mechi Itakuwa LIVE kwenye App yetu bofya hapa kuidownload mapema ili usipitwe na mechi hiiDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz