Man United uso Kwa uso na Man City kombe la FA - EDUSPORTSTZ

Latest

Man United uso Kwa uso na Man City kombe la FA

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Timu ya Manchester United imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la FA Cup England baada ya ushindi wa penalti 7-6 kufuatia sare ya 0-0 na Brighton & Hove Albion FC usiku wa Jumapili Uwanja wa Wembley Jijini London.


Timu ya Manchester United imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la FA Cup England baada ya ushindi wa penalti 7-6 kufuatia sare ya 0-0 na Brighton & Hove Albion FC usiku wa Jumapili Uwanja wa Wembley Jijini London. Ni Victor Lindelof aliyefunga penalti ya ushindi baada ya Solly March kukosa upande wa Brighton na sasa kikosi cha Erik ten Hag kitakutana na mahasimu, Manchester City katika Fainali Juni 3 hapo hapo Wembley.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz