Kocha Bayern Munich amkingia kifua Mane

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Kocha wa Bayern Munich Thomas Tuchel amemtetea Mshambuliaji wake Sadio Mane ambae siku mbili zilizopita aliingia kwenye mgogoro na mchezaji mwenzake Leroy sana katika kipicha cha mabao 3-0 dhidi ya Man City.


Akizungumza Tuchel amesema;


“Niko hapa kumtetea Mané. Nimemjua kwa muda mrefu sana na ninamjua tu kama mtaalamu kabisa. Pia najua wasaidizi wake. Hajawahi kuwa na tabia yoyote mbaya"


"Jambo lililotokea ilikuwa kinyume na kanuni za maadili, aliitambua hilo na kuomba msamaha".


Mane amesimamishwa mchezo mmoja lakini tayari ameomba radhi kwa tukio hilo.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post