Hawa hapa waamuzi wa mechi ya Rivers United vs Yanga - EDUSPORTSTZ

Latest

Hawa hapa waamuzi wa mechi ya Rivers United vs Yanga

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Mwamuzi kutoka Afrika Kusini Abongile Tom atachezesha mchezo wa mkondo wa kwanza robo fainali michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Rivers United dhidi ya Yanga


Mchezo huo utapigwa Jumapili, April 23 katika uwanja wa Godswill Akpabio International Stadium


Waamuzi Wasaidizi ni Ivanildo Meirelles de Oliveira Sanches kutoka Angola na Abelmiro Dos Reis Monte Negro kutoka visiwa vya Sao Tome


Mwamuzi wa akiba ni Djindo Louis Houngnandande kutoka Benin wakati waamuzi wa VAR ni Hamza El Fariq na Adil Zourak wote kutoka nchini Morocco


Kikosi cha Yanga tayari kiko Nigeria kuelekea mchezo huo ambao Wananchi wanahitaji kushinda au hata matokeo ya sare ugeniniDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz