Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
"Watawatisha Wachezaji wao kwa Albadir na mikwala chungu mzima, watawaambia tunazo taarifa zenu na yatasingiziwa hadi Makampuni ya betting.
”Nawajua wanapokuwa na maandalizi ya derby, najua wanafikiria nini kuhusu Yanga, wanachachawa wenyewe na wanajipa mchecheto.
"Kiufupi Madunduka wanatuogopa mno ni kama wanasubiria kufungwa tu, kwao hii ni agenda kubwa na ndio maana hadi katika kampeni za uchaguzi wao ilikuwa ni sehemu ya kampeni.
”Imagine being us, Yanga hakuna cha kikao wala meeting, huku hii mechi ni ya kawaida kama tunaenda kucheza na JKT, Wachezaji wanapewa Uhuru na hukuti wananyang’anywa Simu wala kupigwa mikwala zembe.
"Yanga inaamini hii ni mechi kama mechi nyingine, tofauti labda ni huo utani wa jadi tu. Kiufupi now najua why Makolo wamefungwa mara nyingi na Championi, Wana kiherehere sana inapokaribia hii game.
"Nimeishi sehemu zote na najua kiukamilifu maandalizi ya pande zote kuelekea Derby, hakuna anaejua yanafananaje kunizidi mimi. Wao ni full Mihangaiko,huku ni Utulivu 100%.”
Post a Comment