Benard Morrison yupo kamili kuitumikia Yanga - EDUSPORTSTZ

Latest

Benard Morrison yupo kamili kuitumikia Yanga

Kupata Kifurushi cha bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Winga Benard Morrison alicheza dakika 15 za mwisho mchezo wa robo fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Geita Gold juzi Yanga ikiibuka na ushindi wa bao 1-0 na kutinga nusu fainali


Baada ya kuwa nje kwa takribani miezi minne, Morrison sasa amerejea akiwa fit kwa asilimia 100


Kesho Yanga itashuka uwanja wa Azam Complex, kuikabili Kagera Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya NBC


Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi huenda akampatia Morrison dakika nyingi zaidi kwenye mchezo huo


Morrison huenda akawa sehemu ya kikosi kitakachoikabili Simba katika mchezo wa ligi kuu April 16


Mchezo wa duru ya kwanza uliomalizika kwa matokeo ya sare ya bao 1-1, Morrison hakushiriki baada ya kufungiwa mechi tatu
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz