Baleke, Inonga wang'ara kikosi Bora Cha wiki CAF - EDUSPORTSTZ

Latest

Baleke, Inonga wang'ara kikosi Bora Cha wiki CAF

 

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Mlinzi kisiki wa Wekundu wa Msimbazi Henock Inonga Bacca na mshambuliaji tishio Jean Baleke wametajwa kwenye orodha ya wachezaji 11 wa kikosi bora cha wiki cha CAF.


Nyota hao walitoa mchango muhimu kwenye ushindi wa 1-0 walioupata Simba SC nyumbani dhidi ya Wydad Casablanca kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza hatua ya robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa Afrika


Wachezaji wengine wanaounda kikosi hicho wanatoka Al Ahly ya Misri wachezaji wanne, Mamelody wachezaji watatu na Esperance De Tunis ya Tunisia wachezaji wawili.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz