Baba mzazi wa beki wa Yanga Doumbia Afariki dunia - EDUSPORTSTZ

Latest

Baba mzazi wa beki wa Yanga Doumbia Afariki dunia

Kupata Kifurushi cha bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Beki wa Yanga Mamadou Doumbia amepata msiba mkubwa wa kufiwa na Baba yake mzazi uliotokea jana nchini Mali


Kulingana na taarifa iliyotolewa na Yanga, Doumbia ataondoka nchini leo Ijumaa kuelekea Mali kuhudhuria msiba huo


tunaungana nae katika kipindi hiki cha majonzi, tunatoa pole kwa familia ya Doumbia, ndugu, jamaa na marafiki walioguswa na msiba huoDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz