Ahmed Ally: Mechi ya leo tunamlipia ndugu yetu Msuva kisasi - EDUSPORTSTZ

Latest

Ahmed Ally: Mechi ya leo tunamlipia ndugu yetu Msuva kisasi

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Wakati Simba ikijiandaa kushuka Dimbani usiku wa leo April 28 nchini Morocco katika Jiji la Casablanca kutafuta nafasi ya kufuzu kwa hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.


Simba wamewataka Mashabiki na wapenzi wao kutokuwa na wasiwasi wowote kwani wanautaka ushindi kwa hali na mali mbele ya waarabu hao hasa kutokana na kumbukumbu mbaya waliyonayo kwa Mtanzania Simon Msuva ambae aliwahi kukipiga hapo lakini akaingia kwenye mgogoro na kalabu hiyo ya Morocco na kuvunja Mkataba


Akizungumza Meneja wa Habari wa Simba Ahmed Ally amesema;


"Mechi ya leo ni muhimu kwetu na tutaitumia kulipa kisasi cha Mtanzania mwenzetu. Wydad watatueleza kwanini walikua wanamtesa Mtanzania mwenzetu Simon Msuva"


Simba inaingia katika mchezo huo wakiwa na faina ya uongozi wa bao 1-0 walioupata Jijini Dar es Salaam.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz