Yanga yapanda katika viwango vya ubora CAF yashika nafasi hii - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga yapanda katika viwango vya ubora CAF yashika nafasi hii

Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA

Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Baada ya kufanikiwa kutinga robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga wamepanda katika viwango vya ubora CAF


Yanga imepanda mpaka nafasi ya 27 kutoka nafasi ya 75 waliyokuwa msimu uliopita


Yanga imekusanya alama 10 katika michuano ya Shirikisho msimu huu


Wananchi wana nafasi zaidi ya kupanda kama watafanikiwa kuvuka hatua ya robo fainali kwenda nusu fainali, kuingia fainali na hata kutwaa ubingwa


Aidha Tanzania imepanda mpaka nafasi ya saba katika viwango vya ubora baada ya klabu za Simba na Yanga kutinga robo fainali ya michuano ya CAFDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz