Messi kurudi Barcelona ishu nzima Iko hivi - EDUSPORTSTZ

Latest

Messi kurudi Barcelona ishu nzima Iko hivi

Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA

Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Kuna uwezekano mkubwa Lionel Messi akajiunga na Fc Barcelona mwishoni mwa msimu pale mkataba wake na PSG utakapomalizika


Licha ya sasa kuhusishwa na timu mbalimbali za Uarabuni na Marekani, ila taarifa za ndani kutoka Hispania na Argentina zinadai staa huyo wa klab ya PSG huenda akarejea tena Barcelona


Messi amekuwa na mawasiliano ya karibu na kocha wa Barcelona Xavi Hernandez, ambaye walicheza nae katika kikosi cha Barca kilichoshinda mataji mengi zaidi


Bado mpaka sasa Lionel Messi hajathibitisha kuwa ataendelea kusalia PSG ama atatimkia Uarabuni ama atarejea ndani ya klab ya Barcelona



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz