VIINGILIO Yanga vs Tanzania Prisons 03 March 2023
VIINGILIO Yanga vs Tanzania Prisons 03 March 2023,viingilio Yanga vs TZ Prisons,viingilio Yanga SC vs Prisons,Yanga vs Tanzania PrisonsASFC,Yanga Sc vs Tanzania Prisons ASFC,Yanga vs Prisons leo.
Klabu ya Yanga SC inatarajiwa kucheza mchezo unaofuata dhidi ya Tanzania Prisons kesho Ijumaa tarehe 3 March 2023.
Mchezo huo utakaopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamanzi utakuwa wa hatua ya 16 Bora Michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC).
Kuelekea mchezo huo ambao utapigwa kuanzia majira ya saa 1:00 Usiku, Yanga imetangaza viingilio ambapo kwa VIP A itakuwa Tsh 15,000 tu.
Viingilio vingine ni Tsh 10,000 kwa VIP B na C na Mzunguuko itakuwa ni Tsh 5,000 tu.
- MSIMAMO Kundi D CAF Confederation Cup 2022-2023
- MSIMAMO Kundi C CAF Champions League 2022-2023
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili ya hatua ya 16 Bora Azam Sports Federation Cup 2023
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
- RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi
- RATIBA ya Simba CAF Champions League hatua ya Makundi
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.
The post VIINGILIO Yanga vs Tanzania Prisons 03 March 2023 appeared first on Nijuze Mpya.
from Michezo – Nijuze Mpya https://ift.tt/KXjzkB9
via IFTTT
No comments:
Post a Comment