Samatta Afunguka haya kuelekea mechi ya marudiano na Uganda - EDUSPORTSTZ

Latest

Samatta Afunguka haya kuelekea mechi ya marudiano na Uganda

 

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Mbwana Samatta baada ya kurejea nchini na wachezaji wenzake wakitokea Misri walikoifunga Uganda 1-0 aliongea na waandishi wa habari na kubwa aliwaambia nini wenzake baada ya ushindi.

“Niliwapongeza kwa ushindi lakini niliwataka wasahau mara moja iwezekanavyo kwa sababu game ya marudiano ni baada ya siku tatu, baada ya kutoka pale niliwaomba wasahau moja kwa moja”>>> Samatta

Tanzania akishinda mchezo wa Jumanne dhidi ya Uganda tena na akapata sare mchezo wake unaofuatia kama ikiwa Algeria atafanikiwa pia kumfunga Niger katika mchezo wa marudiano Taifa Stars watakuwa na alama 8 ambazo zitawapeleka fainali ya AFCON kwa mara ya tatu katika historia.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz