Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Februari wa ligi kuu ya Uingereza
Rashford ametwaa tuzo hiyo kwa mara ya tatu, msimu huu akiwa ameshinda mwezi Septemba, Januari na sasa Februari
Nae Meneja wa Manchester United, Eric Ten Hag ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwezi Februari katika Ligi Kuu ya Uingereza
Ten Hag ametwaa tuzo hiyo kwa mara ya pili msimu huu baada ya kuchukua tuzo ya mwezi Septemba 2022 pia
No comments:
Post a Comment