Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Kiungo mshambuliaji wa Simba Pape Ousmane Sakho amejumuishwa kwenye kikosi cha wachezaji 24 timu ya Taifa ya Senegal kuelekea mechi za kuwania kufuzu AFCON 2023 dhidi ya Msumbiji
Hii ni mara ya kwanza kwa Sakho kujumuishwa kwenye kikosi kamili cha Senegal kinachojumuisha wachezaji wanaocheza soka nje ya Senegal
Amewahi kujumuishwa kwenye kikosi cha wachezaji wa ndani (CHAN) kabla hajasajiliwa na Simba
No comments:
Post a Comment