Nahodha wa Yanga Bakari Nondo Mwamnyeto amejumuishwa katika kikosi cha wiki kwenye michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya mechi za raundi ya nne
Mwamnyeto alionyesha kiwango bora katika mchezo dhidi ya Real Bamako uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa jana na Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-0
Tangu arejeshwe kwenye kikosi cha kwanza Mwamnyeto amecheza mechi tatu za makundi dhidi ya TP Mazembe na mechi mbili dhidi ya Real Bamako
Kwa hakika nyakati ngumu hupita, sasa Wananchi wanafurahia kazi nzuri anayoifanya kwenye safu ya ulinzi kama ilivyo kawaida yake
Je unatafuta Ajira tembelea tovuti hii Sasa Kwa matangazo yote ya kazi BOFYA HAPA SASA
No comments:
Post a Comment