Mo Dewji ateua wajumbe wapya bodi ya Wakurugenzi Simba
Mwekezaji wa klabu ya Simba Mohammed Dewji ‘Mo’ ambaye ni Rais wa heshima wa klabu hiyo, amefanya uteuzi wa Wajumbe wanne wanaoingia kwenye Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba Sports Club.
Walioteuliwa ni Dk. Raphael Chegeni, Mhe Rashid Shangazi, Bwana Hamza Johari na Bwana Zulfikar Chandoo.
Katika taarifa aliyotoa, Mo Dewji amesema kuwa uteuzi huo umezingatia uzoefu wao akiwa na imani kuwa watasaidia katika kutimiza lengo la klabu ya Simba SC.
“Nimeteua wajumbe wanne wapya kwenye Bodi ya Simba Sports Club. Karibu Dk. Raphael Chegeni, Mhe Rashid Shangazi, Bwana Hamza Johari na Bwana Zulfikar Chandoo. Wanachama hawa wataleta uzoefu mkubwa ambao utasaidia katika kutimiza lengo la klabu, na kuwa klabu ya soka inayoongoza barani Afrika”
- MSIMAMO Kundi D CAF Confederation Cup 2022-2023
- MSIMAMO Kundi C CAF Champions League 2022-2023
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili ya hatua ya 16 Bora Azam Sports Federation Cup 2023
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
- RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi
- RATIBA ya Simba CAF Champions League hatua ya Makundi
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.
The post Mo Dewji ateua wajumbe wapya bodi ya Wakurugenzi Simba appeared first on Nijuze Mpya.
from Michezo – Nijuze Mpya https://ift.tt/jtpEvXo
via IFTTT
No comments:
Post a Comment