Mchezo kati ya Tanzania vs Uganda kupigwa saa 2 usiku - EDUSPORTSTZ

Latest

Mchezo kati ya Tanzania vs Uganda kupigwa saa 2 usiku

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 
Mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya Afcon 2023 katika ya Tanzania dhidi ya Uganda utapigwa kesho Jumanne, March 28 katika uwanja wa Benjamin Mkapa


Muda wa mchezo huo umebadilishwa kutoka saa 1 na sasa manange huo utaunguruma kuanzia saa 2


Baada ya ushindi wa bao 1-0 kwa Tanzania kwenye mchezo kati ya timu hizo uliopigwa Misri juzi, Stars inahitaji ushindi mwingine ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kufuzu kwa michuano ya Afcon 2023 ambayo itafanyika Ivory Coast baadae mwaka huu



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz