Matokeo Uganda vs Tanzania Leo Ijumaa march 24 - EDUSPORTSTZ

Latest

Matokeo Uganda vs Tanzania Leo Ijumaa march 24

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA

Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA

Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
 
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kimeibuka kidedea kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Uganda katika mchezo wa kuwania kufuzu Afcon 2023


Bao pekee la Stars lilifungwa na Saimon Msuva kwenye dakika ya 68 akimalizia krosi murua kutoka kwa mlinzi wa kulia Dickson Job


Stars ilicheza kwa nidhamu kubwa katika mchezo huo ambao ulipigwa uwanja wa Suez Canal, huko Ismailia, Misri


Ushindi huo umeisogeza Tanzania mpaka nafasi ya pili kwenye msimamo wa kundi F baada ya kufikisha alama nne


Timu hizo zitarudiana tena katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa Jumanne, March 28Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz