Jassim awasilisha zabuni ya pili ya kuinunua Manchester United - EDUSPORTSTZ

Latest

Jassim awasilisha zabuni ya pili ya kuinunua Manchester United

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA

Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA

Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
 
Sheikh Jassim amewasilisha zabuni ya pili ya kuinunua Manchester United usiku wa kuamkia leo Jumamosi, kama ilivyotarajiwa


Sheikh Jassim Group wanaamini kuwa zabuni hiyo yenye uwekezaji mwingi ni bora zaidi kwa klabu, mashabiki na Jumuiya ya Manchester 


Sir Jim Ratcliffe INEOS group pia waliwasilisha zabuni yao iliyoboreshwa jana kama ilivyo kwa matajiri wengine ambao walijiunga katika mchakato wa kuinunua Manchester United


Kazi imebaki kwa Glazers kuamua hivi karibuni..Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz