Huyu hapa Refa atakaye chezesha mechi ya Raja vs Simba - EDUSPORTSTZ

Latest

Huyu hapa Refa atakaye chezesha mechi ya Raja vs Simba

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 
Mwamuzi Ahmad Heeralall kutoka Mauritania anatarajiwa kuchezesha mchezo wa raundi ya mwisho wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Raja Casablanca dhidi ya Simba


Mtanange huo utapigwa katika dimba la Mohamed V, majira ya saa saba kamili usiku wa kuamkia Aprili Mosi, 2023 


Ni mchezo wa kukamilisha ratiba baada ya Mnyama kujihakikishia nafasi kwenye robo fainali ya Ligi ya Mabingwa 

MECHI ITAKUWA LIVE KWENYE APP YETU BOFYA HAPA KUIDOWNLOAD BURE KUMBUKA APP BADO HATUJAIWEKA PLAY STORE HIVYO KUMBUKA KUBOFYA NENO UNKNOWN SOURCESDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz