Droo hatua ya 16 na 32 Bora FA Cup Zanzibar 2020/2023
Droo hatua ya 16 na 32 Bora FA Cup Zanzibar 2020/2023,Zanzibar football Shirt,Zanzibar Football League,Zanzibar Football Federation,ZFF Zanzibar fixtures, Zanzibar FA Cup 2022/2023
Kamati ya Mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) imeongoza Droo ya hatua ya 32 na 16 Bora ya michuano ya FA Cup, Leo 04 March 2023 kwenye Ukumbi wa ZFF, Amaan.
Droo ya hatua ya 16 Bora ya michuano ya FA Cup 2022/2023 kwa upande wa Pemba ambapo Michezo hiyo itaaza kuchezwa kuanzia Machi 17 hadi 19, 2023.
Jamhuri vs Jondeni FC
Mkoroshoni FC vs New Stone Town
Young Island United vs Fufuni SC
Maendeleo United vs Kurume Boys
Junguni FC vs Chipukizi United
Manchomane FC vs Wembe FC
Mbuyuni FC vs Al Azar FC
Tekeleza FC vs Kisiwani FC
Droo ya hatua ya 32 Bora ya michuano ya FA Cup 2022/2023 kwa upande wa Unguja, ambapo michezo hiyo itaaza kuchezwa kuanzia Machi 17 hadi 19, 2023 katika Uwanja wa Amaan, Mao, Kinyasini na Kitogani.
Mwembelabu vs Taifa Jangombe
Raskazone FC vs Polisi FC
Muungano Rangers vs Danger Boys
Mundu FC vs Dulla Boys
U/Mbuzini vs Black Sailors
Sharp Boys FC vs Uhamiaji FC
Villa FC vs Kipanga FC
New King FC vs Zimamoto FC
Kiembe Samaki FC vs Kundemba FC
Baharia FC vs JKU SC
M/Makumbi City vs KVZ FC
Bambuu FC vs Mlandege FC
Jang’ombe Boys vs KMKM SC
Nyangobo FC vs Mafunzo FC
New City FC vs Malindi SC
M/Makumbi United vs New Boys
Michuano ya Zanzibar Cup ni michuano ya mtoano ya kwanza visiwani Zanzibar.Mara ya kwanza kuchezwa kwa kombe hili ilikuwa mwaka wa 1926.
Hata hivyo, kombe hilo halikuchezwa mara nyingi, kwani klabu za Zanzibar huwa zinashiriki michuano ya Nyerere Cup au Mapinduzi Cup pamoja na klabu za Tanzania Bara.
Kombe la FA la Zanzibar liliandaliwa kuanzia 2019, huku washindi wakifuzu kwa Kombe la Shirikisho la CAF.
Washindi wa FA Cup toka imeanzishwa
1926: Mnazi Mmoja 1-0 New Kings
1931: PWD
1994: Malindi SC
2005: Final between Mafunzo and Chipukizi (unknown winner)
2019: Malindi 0–0 (4–2 pen.) JKU
2020: abandoned
2021: Mafunzo 1-1 (4–3 pen.) KVZ
2022:
- MSIMAMO Kundi D CAF Confederation Cup 2022-2023
- MSIMAMO Kundi C CAF Champions League 2022-2023
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili ya hatua ya 16 Bora Azam Sports Federation Cup 2023
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
- RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi
- RATIBA ya Simba CAF Champions League hatua ya Makundi
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.
The post Droo hatua ya 16 na 32 Bora FA Cup Zanzibar 2020/2023 appeared first on Nijuze Mpya.
from Michezo – Nijuze Mpya https://ift.tt/Hvzoruw
via IFTTT
No comments:
Post a Comment