Adel Amrouche Kocha Mkuu Taifa Stars, tazama CV yake - EDUSPORTSTZ

Latest

Adel Amrouche Kocha Mkuu Taifa Stars, tazama CV yake

Adel Amrouche Kocha Mkuu Taifa Stars, tazama CV yake, CV ya Adel Amrouche Kocha Mpya Tanzania,CV ya Adel Amrouche,Adel Amrouche CV, Adel Amrouche Kocha Taifa Stars, Adel Amrouche Kocha Taifa Stars, Historia ya Kocha wa Taifa Stars Adel Amrouche, Historia ya Adel Amrouche Kocha Mpya Taifa Stars,Timu alizochezea Adel Amrouche, timu alizofundisha Adel Amrouche, Umri wa Adel Amrouche.

Adel Amrouche Kocha Mkuu Taifa Stars, tazama CV yake

Adel Amrouche Kocha Mkuu Taifa Stars, tazama CV yake, CV ya Adel Amrouche Kocha Mpya Tanzania,CV ya Adel Amrouche,Adel Amrouche CV, Adel Amrouche Kocha Taifa Stars, Adel Amrouche Kocha Taifa Stars, Historia ya Kocha wa Taifa Stars Adel Amrouche.

Adel Amrouche Kocha Mkuu Taifa Stars, tazama CV yake, CV ya Adel Amrouche Kocha Mpya Tanzania,CV ya Adel Amrouche,Adel Amrouche CV, Adel Amrouche Kocha Taifa Stars, Adel Amrouche Kocha Taifa Stars, Historia ya Kocha wa Taifa Stars Adel Amrouche, Historia ya Adel Amrouche Kocha Mpya Taifa Stars,Timu alizochezea Adel Amrouche, timu alizofundisha Adel Amrouche, Umri wa Adel Amrouche.

Adel Amrouche Kocha Mkuu Taifa Stars, tazama CV yake

Historia ya Adel Amrouche Kocha Mpya Taifa Stars,Timu alizochezea Adel Amrouche, timu alizofundisha Adel Amrouche, Umri wa Adel Amrouche.Shirikisho la Soka chini Tanzania (TFF) linamtangaza Adel Amrouche kuwa kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars”.

Amrouche raia wa Ubelgiji mwenye asili ya Algeria ana uzoefu mkubwa na soka la Afrika baada ya kufundisha klabu na timu za taifa katika ukanda Kusini, Mashariki, Kati na Kaskazini.

Amrouche amewahi kuwa kocha Bora wa Afrika Mashariki mwaka 2013 wakati akiinoa na kuipa Kenya “Harambee Stars” Ubingwa wa CECAFA Challenge Cup na kabla alifika nusu Fainali mara mbili akiwa na Burundi.

Kocha huyo mwenye umri wa miaka 58 akiwa na Harambee Stars aliweka rekodi ya kucheza michezo 20 bila kupoteza.

Kocha Amrouche amewahi pia kuzinoa timu za taifa za Equatorial Guinea, Botswana, Libya na Yemen kwa nyakati tofauti.

Adel Amrouche Kocha Mkuu Taifa Stars, tazama CV yake, CV ya Adel Amrouche Kocha Mpya Tanzania,CV ya Adel Amrouche,Adel Amrouche CV, Adel Amrouche Kocha Taifa Stars, Adel Amrouche Kocha Taifa Stars, Historia ya Kocha wa Taifa Stars Adel Amrouche, Historia ya Adel Amrouche Kocha Mpya Taifa Stars,Timu alizochezea Adel Amrouche, timu alizofundisha Adel Amrouche, Umri wa Adel Amrouche.

Adel Amrouche Kocha Mkuu Taifa Stars, tazama CV yake

Akiwa DC Motema Pembe ya DR Congo aliwezesha kufanya vizuri katika michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho akiwa ameipa mara mbili Ubingwa wa DR Congo na DRC Super Cup.

Amrouche pia amewahi kuzifundisha RC Kouba, USM Alger, alizowahi kuzichezea na MC Algiers, zote za Algeria.

Aidha, Kocha Adel ni mkufunzi wa walimu wa Pro Licence wa Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) akizalisha Makocha wengi Bora Barani Afrika na ana uzoefu Mkubwa katika soka la Vijana, kazi aliyoifanya kwa zaidi ya miaka 10 nchini Algeria na Ubelgiji.

Amrouche anayemudu lugha za Kiarabu, Kifaransa, Kingereza na Kiswahili, kwa nyakati tofauti, amewahi kuwa Mkurugenzi wa Ufundi na Michezo katika klabu za Ubelgiji na Ukraine.

Kocha huyo mwenye UEFA Pro Licence na Shahada ya Uzamili katika kuwasoma watu na Utimamu (Mas- ters in Ergonomics in Physical Activity) Amrouche amekuwa akifanya kazi za ukufunzi pia kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) katika kuzalisha walimu wa Soka.

Aidha Katika wakati wote wa Mkataba wake na Taifa Stars Amrouche atalipwa mshahara na Serikali.

Amrouche alianza uchezaji wake kwenye Klabu ya CA Kouba. Alichezea vilabu kadhaa vya Algeria vikiwemo CR Belouizdad, USM Alger, JS Kabylie, OMR El Annasser, Olympique de Médéa na AS Ain M’lila.

Kisha alihamia Austria kwa muda mfupi na kuichezea Favoritner AC. Baada ya hapo, alichezea idadi ya vilabu vya Ubelgiji kama La Louviére na Mons, na vile vile vilabu vya amateur KAV Dendermonde na SK Lombeek.

Amrouche alianza kazi yake ya Ukocha mwaka wa 1988 kwa kufundisha timu ya vijana ya OMR El Annasser alipokuwa akiichezea timu ya wakubwa.

Mwaka 2002, aliteuliwa kama meneja wa klabu ya Daring Club ya Motema Pembe ya Kongo. Mwaka 2007, Amrouche alikua mkufunzi wa timu ya taifa ya Burundi.

Mnamo tarehe 1 Januari 2011, Amrouche alikataa ofa ya kuchukua nafasi ya usimamizi iliyoachwa wazi ya klabu ya ES Sétif ya Algeria, akipendelea kuendelea na jukumu lake katika timu ya taifa ya Burundi.

Tarehe 29 Februari 2012, Amrouche alijiuzulu kama meneja wa Burundi, siku moja tu baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Zimbabwe katika mechi ya kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika 2013.

Mnamo Februari 2013, Amrouche aliteuliwa kuwa kocha wa timu ya taifa ya Kenya akichukua nafasi hiyo kutoka kwa James Nandwa ambaye alikuwa hapo kwa muda baada ya kuondoka kwa Henri Michel.

Alifutwa kazi tarehe 3 Agosti 2014 kufuatia Kenya kushindwa kwa jumla ya bao 1-0 na Lesotho katika raundi ya pili ya kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika 2015.

Aliifundisha USM Alger mwaka wa 2016.akawa meneja wa timu ya taifa ya Libya mnamo Mei 2018. Alijiuzulu kutoka wadhifa huo Oktoba 2018.

Kisha alisimamia MC Alger.Mnamo Agosti 2019 alikua meneja wa Botswana.

Managerial career
1995–1996 FC Brussels (Technical Director)
1996–2002 R.U. Saint-Gilloise (General Director)
2002–2004 DC Motema Pembe
2004 Equatorial Guinea
2005 FC Volyn Lutsk (Technical Director)
2005 FK Genclerbirliyi
2005–2006 DC Motema Pembe
2006–2007 R.U. Saint-Gilloise (Technical Director)
2007–2012 Burundi
2013–2014 Kenya
2016 USM Alger
2018 Libya
2018–2019 MC Alger
2019–2022 Botswana
2022 Yemen

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

The post Adel Amrouche Kocha Mkuu Taifa Stars, tazama CV yake appeared first on Nijuze Mpya.



from Michezo – Nijuze Mpya https://ift.tt/Pq8gow4
via IFTTT


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz