Dodoma Jiji kukipiga na Singida Big Stars mechi ya kirafiki - EDUSPORTSTZ

Latest

Dodoma Jiji kukipiga na Singida Big Stars mechi ya kirafiki

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA

Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA

Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Jumapili, March 26 itapigwa dabi ya Kanda ya Kati, mchezo wa kirafiki kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Singida Big Stars


Mchezo huo unatarajiwa kupigwa uwanja wa Jamhuri kiingilio kikiwa Tsh 1,000/-


Ni mechi ya kuweka sawa vikosi vya timu hizo wakati huu ligi ikiwa imesimama kupisha kalenda ya CAFDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz