Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Winga wa Yanga Denis Nkane amerejea mazoezini akiungana na wenzake baada ya kupona majeraha
Nkane hajaonekana uwanjani kwa takribani wiki nane akisumbuliwa na majeraha ya kifundo cha mguu
Amerejea wakati ambapo ushindani katika eneo analocheza umeongezeka
Ni wazi atakuwa na kazi ya ziada ili kuhakikisha anapata nafasi kama ilivyokuwa kabla hajapata majeraha
Tuisila Kisinda, Jesus Moloko, Dickson Ambundo, Bernard Morrison na hata Kennedy Musonda wote wanamudu kucheza winga
Post a Comment