Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Mlinda lango wa Simba Aishi Manula anachuana na mshambuliaji Jean Baleke na kiungo Clatous Chama kuwania tuzo ya mchezaji bora wa mashabiki wa Simba kwa mwezi March 2023
Wachezaji hao wanawania tuzo hiyo (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month) baada ya kuwa na kiwango bora katika mechi zilizopigwa mwezi March 2023
Mwezi March Baleke alipachika mabao sita na assist moja wakati Chama akifunga mabao manne na assist moja pia
Manula alikaa langoni katika mechi tatu pasipo kuruhusu bao
Kura zinahesabiwa kupitia tovuti rasmi ya klabu ya Simba
No comments:
Post a Comment