PICHAZ: Yanga yaanza mazoezi Tunisia
PICHAZ: Yanga yaanza mazoezi Tunisia, Yanga SC vs US Monastir CAF 12 February 2023, Yanga vs Us Monastir CAF Confederation League, Yanga vs Us Monastir, Yanga SC vs Monastir tarehe 12 February 2023
KIKOSI cha Yanga kimeanza rasmi maandalizi ya mchezo wa hatua ya Makundi kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya US Monastirm
Mchezo huo wa kwanza wa kundi D utapigwa Jumapili hii ya Februari 12, 2023 katika Jiji la Tunis Uwanja wa Olympique de Rades kuanzia saa 1:00 Usiku.
Klabu hiyo iliwasili salama mjini Tunis jana Jumatano (Februari 08), kikitokea Dar es salaam Tanzania.
Afisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe amesema kuwa hali ya hewa ya jijini Tunis, Tunisia ni nyuzi joto tisa (9). Baridi ni kali sana kama sio mwenyeji wa eneo hilo.
Kamwe amesema hiyo ndiyo sababu kubwa ya Viongozi wa Yanga kuhakikisha timu inafika mapema Tunisia ili Wachezaji wapate fursa ya kuzoea hali ya hewa kabla ya mchezo wao vs US Monastir.
- SHINDA MAMILIONI NA GAL SPORT TANZANIA, JISAJILI HAPA KUSHINDA
- MATOKEO ya Kidato cha Nne 2022/2023
- RATIBA kamili ya hatua ya 16 Bora Azam Sports Federation Cup 2023
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
- RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi
- RATIBA ya Simba CAF Champions League hatua ya Makundi
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.
The post PICHAZ: Yanga yaanza mazoezi Tunisia appeared first on Nijuze Mpya.
No comments:
Post a Comment