MO ashusha Viingilio Simba vs Raja Casablanca - EDUSPORTSTZ

Latest

MO ashusha Viingilio Simba vs Raja Casablanca

MO ashusha Viingilio Simba vs Raja Casablanca

MO ashusha Viingilio Simba vs Raja Casablanca

Viingilio Simba SC vs Raja Club Athletic, viingilio Simba SC vs Raja Casablanca Football Club, Simba vs Raja Club Athletic, Viingilio Simba Sports Club vs Raja Club Athletic CAF Champions League, Viingilio Simba vs Raja Club Athletic Ligi ya Mabingwa Afrika.

MO ashusha Viingilio Simba vs Raja Casablanca

MO ashusha Viingilio Simba vs Raja Casablanca

Rais wa Heshima na muwekazaji wa klabu ya Simba SC, Mohamed Dewji ameagiza kushushwa kwa viingilio vya mchezo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika Kati ya Simba SC dhidi ya Raja Casablanca utakaopigwa Jumamosi hii ya February 18 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Awali kiingilio cha chini ambapo ni mzunguko kilikuwa Sh. 5000 lakini sasa itakuwa Sh. 3000 wakati VIP C ilikuwa 20,000 na sasa itakuwa Sh. 10,000.

Mo amechukua maamuzi hayo ili kuwafanya mashabiki wa Simba wajitokeze kwa wingi Uwanjani kuipa sapoti timu yao ili ifanye vizuri.

Viingilio vipya vilivyopangwa ni kama inavyoonekana hapa chini!

Mzunguko Sh. 3,000
VIP C Sh. 10,000
VIP B Sh. 20,000
VIP A Sh. 30,000

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

The post MO ashusha Viingilio Simba vs Raja Casablanca appeared first on Nijuze Mpya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz