YANGA yaachana na Makambo - EDUSPORTSTZ

Latest

YANGA yaachana na Makambo

YANGA yaachana na Makambo

YANGA yaachana na Makambo

Makambo aondoka Yanga, yanga yaachana na Makambo, Heritier Ebenezer Makambo Yanga SC, Yanga yaachana na Heritier Makambo, Makambo aondoka Yanga Young Africans, Heritier Ebenezer Makambo DR Congo, Heritier Ebenezer Makambo Young Africans.

YANGA yaachana na Makambo

YANGA yaachana na Makambo

Klabu ya Young Africans imethibitisha kufikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa mshambuliaji wake Heritier Ebenezer Makambo.

Makambo anaondoka Yanga baada ya kuitumikia miezi 18 ya mkataba wa miaka miwili ambao aliusaini.

Makambo mwenye umri wa miaka 28 alin’gara kwenye kikosi cha Yanga msimu wa 2018/20219 na hata kuivutia Klabu ya Horoya Ac iliyomsajili na akaitumikia kwa misimu miwili kisha kurejea tena Yanga msimu wa 2021/2022.

Baada ya kurejea Yanga Makambo hajawa na wakati mzuri kwenye na huu unakuwa ni Uamuzi sahihi kwa uongozi wa Yanga na hata kwake kwenda kutafuta changamoto sehemu nyingine.

Sasa ni rasmi nafasi yake inachukuliwa na Kennedy Musonda aliyesajiliwa jana kutoka Power Dynamos ya kwao Zambia.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari za Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Usajili, saleh jembe michezo leo,habari za michezo
leo 2023, habari za yanga za leo, habari za simba za leo, Habari za Michezo leo 2023.

The post YANGA yaachana na Makambo appeared first on Nijuze Mpya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz