Jean Baleke atua Simba SC - EDUSPORTSTZ

Latest

Jean Baleke atua Simba SC

Jean Baleke atua Simba SC

Jean Baleke atua Simba SC

Jean Baleke atua Simba SC, Jean Othos Baleke asajiliwa Simba SC, Jean Baleke Simba, Jean Othos Baleke Simba SC, Simba yamsajili Jean Othos Baleke, Jean Othos Baleke atua Simba Sports Club, Simba yamsajili Baleke, Jean Baleke Simba SC.

Jean Othos Baleke Simba SC

Jean Othos Baleke Simba SC

Jean Othos Baleke Simba Sports Club, Jean Othos Baleke Burkina Faso DR Congo, Jean Othos Baleke Simba, Jean Baleke Mchezaji mpya Simba, Jean Baleke Mshambuliaji mpya wa Simba, Baleke ni Mnyama.

Klabu ya Simba imetangaza kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa kati Jean Othos Baleke raia wa DR Congo kwa mkataba wa miaka miwili kutoka TP Mazembe.

Baleke mwenye umri wa miaka 21 anatarajia kuwasili nchini keshokutwa Jumanne na atajiunga moja kwa moja na kikosi Simba ambacho kitakuwa tayari kimerejea kutokea Dubai (UAE)

Baleke ametua Simba akitokea Nejmeh FC ya Lebanon ambapo alipelekwa kwa mkopo na TP Mazembe mwanzoni mwa msimu huu wa 2022/2023.

Usajili wa Baleke ni matakwa ya benchi la ufundi la Simba ili kuongeza nguvu kwenye eneo la Ushambuliaji.

Baleke anakuwa mchezaji wa tatu kusajiliwa na Simba SC kwenye dirisha hili dogo la usajili baada ya hapo jana kumsajili Kiungo Mkabaji, Hamed Ismael Sawadogo raia wa Burkina Faso kutoka Difaa El Jadid ya Morogoro na hapo awali kumsajili kiungo mshambuliaji wa Burundi, Saido Ntibanzokiza kutoka Geita Gold ya Geita.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari za Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Usajili, saleh jembe michezo leo,habari za michezo
leo 2023, habari za yanga za leo, habari za simba za leo, Habari za Michezo leo 2023.

The post Jean Baleke atua Simba SC appeared first on Nijuze Mpya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz