VIINGILIO Yanga vs Ruvu Shooting January 23 2023 - EDUSPORTSTZ

Latest

VIINGILIO Yanga vs Ruvu Shooting January 23 2023

VIINGILIO Yanga vs Ruvu Shooting January 23, 2023

VIINGILIO Yanga vs Ruvu Shooting January 23, 2023

VIINGILIO Yanga vs Ruvu Shooting January 23 2023, Yanga vs Ruvu Shooting leo, Viingilio Yanga vs Ruvu Shooting leo January 23.2023, Viingilio Yanga vs Ruvu Shooting FC.

VIINGILIO Yanga vs Ruvu Shooting January 23, 2023

VIINGILIO Yanga vs Ruvu Shooting January 23, 2023

VINARA wa Ligi Kuu ya NBC, Klabu ya Young Africans Jumatatu ya January 23, 2023 itashuka Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Ruvu Shooting kwenye Mchezo wa Ligi Kuu hiyo raundi ya 21.

Kuelekea mchezo huo ambao ambao utapigwa kuanzia saa 1:00 Usiku, Young Africans imetangaza viingilio ambapo kwa VIP A itakuwa Tsh 15,000.

Viingilio vingine vimetajwa kuwa kwa VIP B na C itakuwaTsh 10,000 na kwa Mzunguuko itakuwa Tsh 5,000 tu.

Afisa Habari wa Klabu hiyo Ali Shabaan Kamwe amesema kuwa kuanzia Jumatatu wanaanza kuhesabu mechi nane ambazo wanahitaji kushinda ili kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu huu 2022/2023.

Kamwe amewataka Mashabiki wa Klabu hiyo kununua tiketi zao kwa wingi ili kuwaongezea hamasa Wachezaji wao katika mchezo huo ambao wanahitaji ushindi wa aina yoyote.

Yanga Sports Club vs Ruvu Shooting Football Club, matokeo Yanga vs Ruvu Shooting, Viingilio Yanga sc vs Ruvu Shooting Football Club, Viingilio Yanga Sports Club vs Ruvu leo, yanga SC vs Ruvu Shooting leo, Yanga SC vs Ruvu Shooting January 23 2023

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari za Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Usajili, saleh jembe michezo leo,habari za michezo
leo 2023, habari za yanga za leo, habari za simba za leo, Habari za Michezo leo 2023.

The post VIINGILIO Yanga vs Ruvu Shooting January 23 2023 appeared first on Nijuze Mpya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz