MABADILIKO ya tarehe Simba vs Yanga, tazama mabadiliko mengine hapa - EDUSPORTSTZ

Latest

MABADILIKO ya tarehe Simba vs Yanga, tazama mabadiliko mengine hapa

MABADILIKO ya tarehe Simba vs Yanga, tazama mabadiliko mengine hapa

MABADILIKO ya tarehe Simba vs Yanga, tazama mabadiliko mengine hapa

MABADILIKO ya tarehe Simba vs Yanga, tazama mabadiliko mengine hapa

MABADILIKO ya tarehe Simba vs Yanga, tazama mabadiliko mengine hapa

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imefanya mabadiliko ya tarehe za michezo yote ya mzunguko wa 26 wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2022/2023.

Bodi hiyo pia imefanya mabadiliko kwa michezo mingine miwili ambayo ni namba 175 mzunguko wa 22 kati ya Geita Gold FC dhidi ya Coastal Union FC, na mchezo namba 184 mzunguko wa 23 kati ya Simba SC dhidi ya Young Africans SC.

Bodi hiyo imesema kuwa baada ya December 30, 2022 kutangaza maboresho ya ratiba ya Ligi Kuu ya NBC kuanzia mzunguko wa 20 hadi 30, baadae walipokea barua kutoka kwa wamiliki wa Uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Jijini Dar es Salaam.

Bodi ya Ligi imesema kuwa barua hiyo ilieleza uwepo wa tukio la Mkutano wa Dini Aprili 09, 2023 siku ambayo ilipangwa kwaajili ya mchezo namba 184 kati

Aidha mabadiliko ya tarehe ya mchezo huo namba 184 yameathiri ratiba ya michezo yote ya mzunguko wa 26.

Mabadiliko hayo ni kama inavyoonekana kwenye hapa chini.

Mabadiliko ya Mzunguko wa 22 NBC Premier League 2022/2023

👉Geita Gold FC vs Coastal Union FC

Awali ulikuwa uchezwe February 04 2023, sasa utacheza January 24, 2023 saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Nyankumbu Geita.

Mabadiliko ya Mzunguko wa 23 NBC Premier League 2022/2023

👉 Simba SC vs Young Africans SC

Awali ulikuwa uchezwe April 09 2023, sasa utacheza April 16, 2023 saa 11:00 jioni kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Mabadiliko ya tarehe Michezo yote ya raundi ya 26 NBC Premier League 2022/2023 na mchezo wa Simba vs Yanga na Geita Gold vs Coastal Union Fc.

MABADILIKO ya tarehe Simba vs Yanga, tazama mabadiliko mengine hapa

MABADILIKO ya tarehe Simba vs Yanga, tazama mabadiliko mengine hapa

Ligi Kuu ya Tanzania Bara ni Ligi ya soka ya kiwango cha juu nchini Tanzania, inayosimamiwa na Shirikisho la Soka Tanzania.

Ligi hiyo iliandaliwa kwa mara ya kwanza mwaka wa 1921 jijini Dar es Salaam. Kufikia 1929, ilikuwa na Vilabu sita. Katika miaka ya 1930, ilijumuisha timu za mitaani kama vile Arab Sports (Kariakoo) na New Strong Team (Kisutu), inayoundwa na Waarabu na Waafrika mtawalia.

Mnamo 1942, vilabu kutoka kwa taasisi za umma kama vile Shule ya Serikali, Ofisi ya Posta, Reli SC, King’s African Rifles SC, Police SC na Idara ya Tiba zilianza kutawala Ligi hiyo.

Hata hivyo, baada ya Vita vya Pili vya Dunia, timu nyingi zilivunjwa; wachezaji wengi wa Ulaya waliacha kushiriki Ligi hiyo, na vilabu vyao vilivyojumuisha Klabu ya Gymkhana, Polisi, King’s African Rifles, Railways, hatimaye vilijiondoa.

Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC, Ratiba ya Ligi Kuu 2022/2023, Ratiba ya NBC Premier League 2022/2023, Ratiba NBC Premier League, ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2022/2023, ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023.

Nafasi zao zilibadilishwa kuanzia miaka ya 1940 na timu za mitaani za Afrika kama Young Africans (Yanga) na Sunderland (iliyojulikana kwa jina la Old Boys mwaka 1942 na baadaye kuwa Simba), pamoja na Klabu ya Goan iliyokuwa ikiongozwa na Goans, na Agha Khan.

Kuanzia kipindi hicho, Yanga na Sunderland taratibu zikawa klabu maarufu na zenye nguvu zaidi jijini Dar es Salaam. Yanga iliyoanzishwa mwaka 1938, iliingia Daraja la kwanza la Ligi mara baada ya hapo na kutwaa makombe makubwa manne mwaka 1942.

Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara Nijuze Habari, ratiba Ligi Kuu Tanzania Bara nijuzempya.com, Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC nijuzempya.com, NBC Premier League Fixtures, NBC Premier League Table, ratiba ya NBC Premier League 2022/2023, NBC Tanzania Premier League NBC 2022/2023.

Sunderland ilijiunga na Ligi Daraja la kwanza mara baada ya Yanga, na kutwaa mataji manne muhimu mwaka 1946. Kufikia 1955, Ligi ya Dar es Salaam ilikuwa na vilabu 38 vilivyosajiliwa. Ikawa “Ligi ya Taifa” ifikapo 1965, ikijumuisha timu nyingi kubwa za Tanzania. Ligi Kuu Ilianzishwa 1965; Miaka 58 iliyopita, kama Ligi ya Taifa ikiwa na jumla ya 16.

Baadae jina hilo lilibadilishwa na kuitwa “Ligi ya Soka Daraja la Kwanza” na kuitwa “Ligi Kuu” mwaka 1997. Kampuni ya Bia Tanzania ndiyo ikawa wadhamini wa michuano hiyo na baada ya hapo Ligi hiyo ikaitwa Ligi ya Bia Tanzania (TBL).

NBC Table 2022/2023 | Ratiba ya ligi kuu Tanzania bara 2022/2023 including scores, fixtures, results, form guide & league position, visit nijuzempya.com, NBC Tanzania Premier League Table 2022/2023, NBC Premier League standings (Msimamo wa NBC) 2022/2023, NBC results Matokeo NBC Leo na Jana 2022/2023.

Mkataba na Kampuni ya Bia ulikatishwa mwaka 2001 baada ya mgogoro wa mdhamini na Chama cha Soka Tanzania. Mnamo 2002, mkataba ulisainiwa na kampuni ya simu ya Vodacom, ambayo ilidumu hadi 2009, na kisha kusainiwa tena mwaka huo huo.

Simba vs Yanga, Simba SC vs Yanga SC, Simba Sports Club vs Young Africans SC, Simba vs Yanga SC, Simba SC vs Yanga, Simba Sports Club vs Yanga SC, Simba SC vs Yanga Sports Club, Simba vs Yanga April 16, 2023, Simba vs Yanga 16 April 2023, April 2023, Derby ya Kariakoo, Kariakoo Derby, Dar es Salaam Derby, Debry ya Kariakoo.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari za Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Usajili, saleh jembe michezo leo,habari za michezo
leo 2023, habari za yanga za leo, habari za simba za leo, Habari za Michezo leo 2023.

 

The post MABADILIKO ya tarehe Simba vs Yanga, tazama mabadiliko mengine hapa appeared first on Nijuze Mpya.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz