WAFAHAMU De Agosto Wapinzani wa Simba CAF Champions League 2022/2023 - EDUSPORTSTZ

Latest

WAFAHAMU De Agosto Wapinzani wa Simba CAF Champions League 2022/2023

WAFAHAMU De Agosto Wapinzani wa Simba CAF Champions League 2022/2023

WAFAHAMU De Agosto Wapinzani wa Simba CAF Champions League 2022/2023

WAFAHAMU De Agosto Wapinzani wa Simba CAF Champions League 2022/2023

Primeiro de Agosto Club

Simba vs Primeiro de Agosto CAF Champions League 2022,Simba vs De Agosto CAF Champions League 2022, Simba kucheza na Waangola , De Agosto Angola vs Simba, Simba Sc vs Agosto De Angola, Simba Sports Club, CAF Champions League 2022/2023, Simba vs de Agosto ya Angola, Simba vs De Agosto CAF Champions League, Simba vs Club De Agosto, Simba kucheza na De Agosto CAF Champions League.

Clube Desportivo 1ยบ de Agosto ni klabu ya Soka ya Luanda, Angola.Klabu hiyo, iliyoanzishwa tarehe 1 Agosti 1977, imeunganishwa na Jeshi la Angola, ambalo ni mfadhili Wake Mkuu.

Rangi za klabu hiyo ni nyekundu na nyeusi. Klabu hiyo ilishinda taji lake la kwanza la Ligi Kuu ya Angola mwaka wa 1979 na katika mpira wa vikapu mwaka wa 1980. Mpira wa mikono na Volleyball pia wameshinda mataji mengi kwa klabu.

Primeiro de Agosto Sports Club ni timu ya mpira wa Miguu inayoshiriki ngazi mbalimbali ndani ya Angola, katika hafla zinazoandaliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu la Angola, ambayo ni Michuano ya Kitaifa ya Mpira wa Miguu ya Angola (Girabola), Kombe la Angola na Angola Super Cup.

Vile vile katika ngazi ya mabara, mashindano ya kila mwaka yanayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), ikiwa ni pamoja na Ligi ya Mabingwa (CAF Champions League) na Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup).

WAFAHAMU De Agosto Wapinzani wa Simba CAF Champions League 2022/2023

Primeiro de Agosto

Jina la Utani ni ‘Os aglorioso’ yaani Watukufu, au ‘Os Rubro e Negros’ yaani Wekundu na Weusi.

Miamba ya soka kutoka Angola, Klabu ya Jeshi la Angola yenye misuli mikubwa ndani ya Angola na Afrika kwa Ujumla.

De Agosto, inashika nafasi ya 2 Kwa Mafanikio nyuma ya Petros Atletico De Luanda ambao wanamilikiwa na Kampuni ya Mafuta ya Sonangol kwenye Ligi ya Angola.

De Agosto Miaka mingi Imekuwa ikishiriki Michuano ya CAF lakini kwa hivi karibuni ilifika hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa kabla ya kutolewa na Esperance (Mabingwa) Kwa Aggregates ya 4-3.

Agosto waliyumba Miaka ya 2019, 2020 na 20221 kutokana na Kanga la Covid-19 ambalo liliathiri sana soka la Angola Kwa ukubwa wake.Simba vs Primeiro de Agosto CAF Champions League 2022,Simba vs De Agosto CAF Champions League 2022, Simba kucheza na Waangola , De Agosto Angola vs Simba.

Msimu huu wamerejea tena kusaka Ubora wao baada ya Misimu mitatu kupita bila kufanya vizuri kwenye CAF, Na misimu miwili nyuma walitolewa na Namungo FC ya hapa Tanzania.

Simba itaanza Ugenini Luanda, Angola, Itamaliza Nyumbani Dar es salaam, Tanzania.

WAFAHAMU De Agosto Wapinzani wa Simba CAF Champions League 2022/2023 SC

Moses Phiri Simba SC

Simba Sports Club ni timu ya Soka ya Tanzania iliyoanzishwa mwaka 1936 baada ya kutengana na timu nyingine ya Tanzania ijulikanayo kwa jina la Yanga SC na ilipewa jina la Queens kwa heshima ya Mtukufu Malkia wa Uingereza.

Kariakoo mtaa wa Msimbazi iliyopo Jijini Dar es Salaam nchini Tanzania ndipo nyumbani kwa klabu ya Simba Sports Club ambayo jina lake maarufu ni Simba SC.

Baada ya kujulikana kama Queens, klabu hiyo kisha ikawa Eagles, na hatimaye ikapewa jina la Sunderland na walibadilisha jina lao na kuwa Simba mwaka 1971.

Simba SC imeshinda mataji 21 ya Ligi na Vikombe vitano vya nyumbani, na imeshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika mara nyingi.Simba Sc vs Agosto De Angola, Simba Sports Club, CAF Champions League 2022/2023, Simba vs de Agosto ya Angola, Simba vs De Agosto CAF Champions League, Simba vs Club De Agosto, Simba kucheza na De Agosto CAF Champions League.

Pia ni moja ya vilabu vikubwa Afrika Mashariki, wakiwa wametwaa Ubingwa wa Klabu Bingwa ya CECAFA mara sita.

Simba wakicheza mechi zao za nyumbani hutumia Uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Jijini Dar es Salaam.

Klabu hiyo ni mojawapo ya Klabu tajiri zaidi Afrika Mashariki, ikiwa na jumla ya bajeti ya Sh 6.1 Bilioni (sawa na $5.3 milioni) iliyozinduliwa kwa msimu wa 2019/2020.

KWA TAARIFA ZAIDI SOMA HAPA

PARMATCH Kumwaga Mamilioni kwa Wateja Wapya | Jisajili hapa Kushinda Zawadi

PARMATCH Kumwaga Mamilioni kwa Wateja Wapya
BETI NA PARMATCH USHINDE MAMILIONI

Kampuni ya Michezo ya KUBETI na KASINO za Mtandaoni Tanzania PARMATCH imezindua Ofa mpya ya Bonasi kwa Wateja wapya.

Kila mteja mpya atakayejisajili na PARMATCH atajinyakulia BONASI sawa na kiasi alichoweka kwa mara ya kwanza kuanzia Shilingi 1,000 hadi milioni moja kwa kila mteja.

Akizungumza katika uzinduzi wa BONASI hiyo Afisa Masoko wa Parmatch amesema kuwa Bonasi hiyo itawahusu wateja wapya watakaojisajili na kuweka salio kwenye akaunti zao.

Ili uweze kujisajili na PARMATCH unatakiwa kutembelea tovuti yao kwa kugusa HAPA Kisha Jisajili.

Kujiunga na PARMATCH na kupata Bonasi ya hadi 1,000,000 (Milioni Moja) Ukideposit salio kwenye akaunti yako Bofya HAPA.

Unaweza kupata Taarifa hii kwa undani zaidi kwa kubofya Parmatch.co.tz

The post WAFAHAMU De Agosto Wapinzani wa Simba CAF Champions League 2022/2023 appeared first on Nijuze Mpya -| Pata Habari zote za Michezo kitaifa na Kimataifa, Tetesi na Usajili, Magazeti ya Michezo, Ratiba na Matokeo, Mahusiano Pamoja na Nafasi za Kazi.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz