RATIBA raundi ya Kwanza CAF Champions League & Confederation Cup 2022/2023
Simba vs Primeiro de Agosto CAF Champions League 2022,Simba vs De Agosto CAF Champions League 2022, Simba kucheza na Waangola , De Agosto Angola vs Simba, Simba Sc vs Agosto De Angola.Yanga vs Al Hilal CAF Champions League 2022/23 ,Young Africans vs Al Hilal, Young Africans vs AL-Hilal, Yanga vs Al-Hilal CAF Champions League, Yanga vs Al Hilal CAF, Al Hilal vs Yanga, Ratiba CAF Champions League, Ratiba Simba vs De Agosto, Ratiba Yanga SC vs Al Hilal, Ratiba ya Simba SC CAF Champions League, Ratiba ya Yanga SC CAF Champions League.
VILABU vikongwe vya Tanzania Bara Simba SC na Yanga SC vimefanikiwa Kufuzu raundi ya kwanza Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika (CAF Champion League) kwa kuzitoa Nyasa Big Bullets ya Malawi na Zalan FC ya Sudani Kusini kwenye raundi ya awali.
Baada ya Kufuzu hatua hiyo Simba SC itakutana Klabu ya Premeiro de Agosto ya Angola huku Yanga ikikutana na klabu ya Al Hilal Omdurman ya Sudani.
Michezo ya mkondo wa kwanza itachezwa October 08 2022 Yanga ikianzia nyumbani na Simba ikianzia ugenini na Michezo ya mkondo wa pili itachezwa October 15 2022.Al Hilal wapinzani wa Yanga, Ifahamu Al Hilal wapinzani wa Yanga CAF Champions League 2022/2023.
Na Mshindi wa Matokeo ya jumla kwenye Michezo yote miwili (Nyumbani & Ugenini) atafuzu moja kwa moja kucheza Makundi ya Klabu Bingwa Afrika (CAF Champion League 2022/22023)Simba Sports Club, CAF Champions League 2022/2023, Simba vs de Agosto ya Angola, Simba vs De Agosto CAF Champions League, Simba vs Club De Agosto, Simba kucheza na De Agosto CAF Champions League.
Iwapo timu itafungwa kwa Matokeo ya Jumla kwenye hatua hiyo bas itaenda kucheza Michezo ya mtoano (Play Off) ya Kufuzu Makundi ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup).
Azam FC wao waanzia raundi ya Kwanza ya Kombe la shirikisho Afrika na watacheza na Al Akhdar ya Libya, wakianzia Ugenini October 08 2022 na Mchezo wa mkondo wa Pili utachezwa October 15 2022 Chamazi Jijini Dar es Salaam.
Iwapo Azam watafanikiwa kuitoa Al Akhdar wataenda kucheza (Play Off) ya kufuzu kucheza Makundi ya Kombe la Shirikisho na timu ambazo zitatolewa kwenye raundi ya kwanza ya Klabu bingwa Afrika (CAF Champions League)
Endapo timu zetu zote zitafuzu hatua ya Makundi Tanzania itakuwa imeongeza 12.5 kwenye pointi za awali 30.5 na kufikisha pointi 43.
RATIBA Kamili raundi ya Kwanza Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League)
- Rivers United vs Wydad
- Plateau United vs Espérance
- Cape Town City vs Petro de Luanda
- La Passe vs Mamelodi Sundowns
- Royal Leopard vs Cotonsport
- RC du Kadiogo vs AS Vita Club
- ASEC Mimosas vs Horoya
- ASKO de Kara vs JS Kabylie
- Djoliba vs CR Belouizdad
- Flambeau Centre vs Zamalek
- De Agosto vs Simba SC
- Nigelec vs Raja Casablanca
- Monastir vs Al Ahly
- Vipers vsTP Mazembe
- Yanga vs Al Hilal
RATIBA Kamili raundi ya Kwanza Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation League).
- Kwara United vs RS Berkane
- Gagnoa vs JS Saoura
- ASC Kara vs USM Alger
- AS Douanes/Real Bamako vs Hearts of Oak
- Hilal Alsahil vs Pyramids
- Fasil Kenema vs CS Sfaxien
- AS Kigali vs Al Nasr
- Kipanga vs Club Africain
- Al Akhdar vs Azam FC
- Royal AM vs Zesco United
- Eloi Lupopo vs Sagrada Esperança
- St Michel United vs Motema Pembe
- Ferroviário Beira vs Diables Noirs
- Elgeco Plus vs Marumo Gallants
- AS FAR vs Ashanti GB
- Kallon vs Future FC
Michezo ya mkondo wa kwanza itachezwa October 08 2022 huku ile ya mkondo wa pili ikirajiwa kuchezwa October 15 2022.
PARMATCH Kumwaga Mamilioni kwa Wateja Wapya | Jisajili hapa Kushinda Zawadi
Kampuni ya Michezo ya KUBETI na KASINO za Mtandaoni Tanzania PARMATCH imezindua Ofa mpya ya Bonasi kwa Wateja wapya.
Kila mteja mpya atakayejisajili na PARMATCH atajinyakulia BONASI sawa na kiasi alichoweka kwa mara ya kwanza kuanzia Shilingi 1,000 hadi milioni moja kwa kila mteja.
Akizungumza katika uzinduzi wa BONASI hiyo Afisa Masoko wa Parmatch amesema kuwa Bonasi hiyo itawahusu wateja wapya watakaojisajili na kuweka salio kwenye akaunti zao.
Ili uweze kujisajili na PARMATCH unatakiwa kutembelea tovuti yao kwa kugusa HAPA Kisha Jisajili.
Kujiunga na PARMATCH na kupata Bonasi ya hadi 1,000,000 (Milioni Moja) Ukideposit salio kwenye akaunti yako Bofya HAPA.
Unaweza kupata Taarifa hii kwa undani zaidi kwa kubofya Parmatch.co.tz
The post RATIBA raundi ya Kwanza CAF Champions League & Confederation Cup 2022/2023 appeared first on Nijuze Mpya -| Pata Habari zote za Michezo kitaifa na Kimataifa, Tetesi na Usajili, Magazeti ya Michezo, Ratiba na Matokeo, Mahusiano Pamoja na Nafasi za Kazi.
No comments:
Post a Comment