ALLY Mayay ateuliwa Ukurungenzi wa Maendeleo ya Michezo - EDUSPORTSTZ

Latest

ALLY Mayay ateuliwa Ukurungenzi wa Maendeleo ya Michezo

ALLY Mayay ateuliwa Ukurungenzi wa Maendeleo ya Michezo

ALLY Mayay ateuliwa Ukurungenzi wa Maendeleo ya Michezo

ALLY Mayay ateuliwa Ukurungenzi wa Maendeleo ya Michezo

Ally Mayay Tembele Mkurugenzi wa Michezo

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa amemteuwa nahodha wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na Klabu ya Young Africans, Mayay Tembele kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo.

Ally Mayay ambaye amewahi kuitumikia Klabu ya CDA ya Jijini Dodoma na Young Africans ameteuliwa kushika nafasi ya Yusuph Omary Singo aliyepangiwa majukumu mengine na Uteuzi huo umeanza kazi rasmi Leo Jumanne September 20 2022

Katika Kuimarisha Utendaji kwenye Sekta ya Maendeleo ya Michezo Nchini na kufuatia maelekezo ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwe, ya kufanya Maboresho ili kuongoza tija, Wizara imemtambulisha, Bw. Ally Mayay Tambele kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo nchini wakati taratibu nyingine zikiendelea

Bw. Mayay ambaye ni Afisa Mwandamizi katika Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini, amehamishiwa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Micheza na kuruhusiwa kukaimu Majukumu hayo kwa mujibu wa kibali cha Ofisi ya Rais Utumishi kupitia barua yenye kumbukumbu namba CCD 273/311/01/WM5 cha tarehe 15 September 2022.

Wadau wa Michezo wameombwa kumpa Ushirikiano katika utekelezaji wa majukumu yake.

PARMATCH Kumwaga Mamilioni kwa Wateja Wapya | Jisajili hapa Kushinda Zawadi

PARMATCH Kumwaga Mamilioni kwa Wateja Wapya

BETI NA PARMATCH USHINDE MAMILIONI

Kampuni ya Michezo ya KUBETI na KASINO za Mtandaoni Tanzania PARMATCH imezindua Ofa mpya ya Bonasi kwa Wateja wapya.

Kila mteja mpya atakayejisajili na PARMATCH atajinyakulia BONASI sawa na kiasi alichoweka kwa mara ya kwanza kuanzia Shilingi 1,000 hadi milioni moja kwa kila mteja.

Akizungumza katika uzinduzi wa BONASI hiyo Afisa Masoko wa Parmatch amesema kuwa Bonasi hiyo itawahusu wateja wapya watakaojisajili na kuweka salio kwenye akaunti zao.

Ili uweze kujisajili na PARMATCH unatakiwa kutembelea tovuti yao kwa kugusa HAPA Kisha Jisajili.

Kujiunga na PARMATCH na kupata Bonasi ya hadi 1,000,000 (Milioni Moja) Ukideposit salio kwenye akaunti yako Bofya HAPA.

Unaweza kupata Taarifa hii kwa undani zaidi kwa kubofya Parmatch.co.tz

The post ALLY Mayay ateuliwa Ukurungenzi wa Maendeleo ya Michezo appeared first on Nijuze Mpya -| Pata Habari zote za Michezo kitaifa na Kimataifa, Tetesi na Usajili, Magazeti ya Michezo, Ratiba na Matokeo, Mahusiano Pamoja na Nafasi za Kazi.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz