MATOKEO Simba SC vs Kipanga FC September 28 2022 | Mechi ya Kirafiki - EDUSPORTSTZ

Latest

MATOKEO Simba SC vs Kipanga FC September 28 2022 | Mechi ya Kirafiki

MATOKEO Simba SC vs Kipanga FC September 28 2022 | Mechi ya Kirafiki

MATOKEO Simba SC vs Kipanga FC September 28 2022 | Mechi ya Kirafiki

MATOKEO Simba SC vs Kipanga FC September 25 2022 | Friendy Match,Matokeo Simba vs Malindi SC, Results Simba vs Malindi SC, Malindi SC ya Zanzibar vs Simba SC 25/09/2022.

MATOKEO Simba SC vs Kipanga FC September 28 2022 | Mechi ya Kirafiki

MATOKEO Simba SC vs Kipanga FC

BAADA ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Malindi SC kwenye mchezo wa kwanza wa Kirafiki Visiwani Zanzibar Klabu ya Simba SC inatarajiwa kucheza mchezo mwingine wa Kirafiki dhidi ya Kipanga FC Leo Jumatano.

Kwenye mchezo wa Kwanza, uliofanyika kwenye Uwanja huo huo wa Amaan September 25,2022 Simba ilipata ushindi wa bao 1-0, bao lililofungwa na Nassor Kapama.

Akizungumzia maandalizi yao, Kocha Mkuu wa Klabu hiyo, Juma Mgunda alisema kuwa “Kikosi kipo salama na maandalizi yanaendelea kuelekea mchezo wa kesho (leo) dhidi ya Kipanga

“Kesho (leo) tutakuwa tunacheza wawakilishi wawili kwenye michuano ya kimataifa na lengo la kucheza mechi hizi ni kupeana ujuzi zaidi kuelekea kwenye michuano ya kimataifa.

“Ninawaomba mashabiki wajitokeze kwa wingi kwaajili ya kushuhudia mchezo huu na tutakuwa waungwana tukiwa uwanjani hivyo tunawaomba na wenzetu wawe waungwana ili mchezo uishe salama.”

Simba inatajiwa kucheza na Kipanga FC katika mchezo ambao utachezwa kwenye Uwanja wa Amaan Visiwani humo kuanzia saa 2:15 usiku.

Mchezo huo wa Pili dhidi ya Kipanga utapigwa Leo Jumanne ya September 28,2022 saa 2:15 usiku na Nijuze Habari kupitia nijuzehabari.co.tz tutakuleta moja kwa moja Matokeo ya mchezo huo.

BOFYA MATOKEO au KIKOSI  kupata taarifa zaidi za mchezo huo, utapata kuona Kikosi kitakachoanza pamoja na Matokeo ya Simba SC dhidi ya Kipanga FC Leo Jumatano September 28 2022.

Michezo hiyo ni Maandalizi ya mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Clube De Desportivo de Agosto ya nchini Angola utakaopigwa September 09, 2022.Kipanga FC vs Simba SC Results, Kikosi kitakachoanza Cha Simba SC vs Kipanga FC, KIKOSI Cha Simba leo, Kikosi cha Simba dhidi ya Kipanga FC Leo, Lineups Simba vs Kipanga FC, Simba Sports Club vs Kipanga.

Simba Sports Club ni timu ya Soka ya Tanzania iliyoanzishwa mwaka 1936 baada ya kutengana na timu nyingine ya Tanzania ijulikanayo kwa jina la Yanga SC na ilipewa jina la Queens kwa heshima ya Mtukufu Malkia wa Uingereza.

Kariakoo mtaa wa Msimbazi iliyopo Jijini Dar es Salaam nchini Tanzania ndipo nyumbani kwa klabu ya Simba Sports Club ambayo jina lake maarufu ni Simba SC.

Baada ya kujulikana kama Queens, klabu hiyo kisha ikawa Eagles, na hatimaye ikapewa jina la Sunderland na walibadilisha jina lao na kuwa Simba mwaka 1971.

Simba SC imeshinda mataji 21 ya Ligi na Vikombe vitano vya nyumbani, na imeshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika mara nyingi.

Pia ni moja ya vilabu vikubwa Afrika Mashariki, wakiwa wametwaa Ubingwa wa Klabu Bingwa ya CECAFA mara sita.Simba Sports Club vs Malindi SC Zanzibar, Matokeo ya Simba leo, Matokeo Simba SC vs Malindi Leo.

Simba wakicheza mechi zao za nyumbani hutumia Uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Jijini Dar es Salaam.

Klabu hiyo ni mojawapo ya Klabu tajiri zaidi Afrika Mashariki, ikiwa na jumla ya bajeti ya Sh 6.1 Bilioni (sawa na $5.3 milioni) iliyozinduliwa kwa msimu wa 2019/2020.

The post MATOKEO Simba SC vs Kipanga FC September 28 2022 | Mechi ya Kirafiki appeared first on Nijuze Mpya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz