YANGA kucheza Mechi mbili za Kirafiki kujiandaa na CAF na NBC Premier League
AS Arta Solar 7 ya Djibouti, AS Arta Solar 7 vs Yanga SC, AS Arta Solar 7 vs Young Africans SC, AS Arta Solar 7 vs Dar Young Africans, Yanga SC vs AS Arta Solar 7, Yanga vs AS Arta Solar 7, Young Africans SC vs AS Arta Solar 7, Dar Young Africans SC vs AS Arta Solar 7, Mechi ya Kirafiki Yanga vs AS Arta Solar 7.
KATIKA kuhakikisha Kikosi chao kinakuwa imara kuelekea michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika inayotarajia kuanza rasmi kati ya September 9-11, mwaka huu, kikosi cha Yanga kinatarajiwa kucheza mechi mbili za kirafiki kabla ya michuano hiyo kuanza.
Moja kati ya timu ambayo Yanga itacheza nayo wakati huu Ligi Kuu Bara ikiwa imesimama kupisha Kalenda ya FIFA, itakuwa dhidi ya AS Arta Solar 7 ya Djibouti, ambayo kikosi chake kinaundwa na baadhi ya nyota wakubwa waliocheza klabu kubwa za Ulaya, wakiwamo Kiungo Mcameroon Alexander Song na winga Solomon Kalou raia wa Ivory Coast.
AS Arta Solar 7, ambao ni Mabingwa wa Ligi Kuu Djibouti, wameweka kambi Jijini Dar es Salaam kujiandaa na Ligi ya Mabingwa Afrika na katika hatua ya awali ya michuano hiyo wataanzia nyumbani dhidi ya Al-Merrikh ya Sudan.
Kocha Msaidizi wa Yanga, Cedric Kaze amesema kuwa watakuwa na programu ya mazoezi na mechi za kirafiki kwa kipindi ambacho Ligi imesimama kupisha Taifa Stars kucheza mechi za kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN), dhidi ya Uganda.
“Tunarudi katika mazoezi ya Gym ili kujiweka sawa kwa kuwa tunaelekea katika michezo migumu, tulipumzika siku mbili na leo tunarudi kazini,“ alisema Kaze.
- RATIBA Mechi Za Simba SC NBC Premier League 2022/2023
- KIKOSI Cha Yanga SC msimu wa 2022/2023
- RATIBA kamili Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2022/2023
- RATIBA Mechi za Yanga SC NBC Premier League 2022/2023
- KIKOSI Cha Simba SC msimu wa 2022/2023
- KANUNI mpya za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023)
- PAKUA/Download App ya Nijuze Habari Kutazama LIVE/Mubashara Mechi Zote
- MSIMAMO NBC Premier League 2022/2023 Table Standings
- WAFUNGAJI Bora Ligi Kuu Tanzania Bara (Top Scorers NBC Premier League 2022/2023)
- KIKOSI cha Tanzania Kufuzu CHAN 2023 dhidi ya Uganda
- MATOKEO raundi ya pili NBC Premier League 2022/2023
- MATOKEO Yanga SC vs Coastal Union August 20 2022 (NBC Premier League 2022/2023)
- MATOKEO Simba SC vs Kagera Sugar FC August 20, 2022 (NBC Premier League 2022/2023)
- RATIBA Raundi ya Tatu NBC Premier League 2022/2023
- UNIVERSITY Selection Waliochaguliwa Vyuo Vikuu 2022/2023
- SIMBA kucheza Mechi 3 za Kirafiki kujiandaa na CAF na NBC Premier League
- YANGA yapata mtelezo CAF Champions League
- TETESI za Usajili NBC Premier League August 2022
- MAGAZETI ya Tanzania Leo Alhamisi August 25,2022
AS Arta Solar 7 ya Djibouti, AS Arta Solar 7 vs Yanga SC, AS Arta Solar 7 vs Young Africans SC, AS Arta Solar 7 vs Dar Young Africans, Yanga SC vs AS Arta Solar 7, Yanga vs AS Arta Solar 7, Young Africans SC vs AS Arta Solar 7, Dar Young Africans SC vs AS Arta Solar 7, Mechi ya Kirafiki Yanga vs AS Arta Solar 7.
The post YANGA kucheza Mechi mbili za Kirafiki kujiandaa na CAF na NBC Premier League appeared first on Nijuze Mpya -| Pata Habari zote za Michezo kitaifa na Kimataifa, Tetesi na Usajili, Magazeti ya Michezo, Ratiba na Matokeo, Mahusiano Pamoja na Nafasi za Kazi.
No comments:
Post a Comment