TAIFA STARS MBIONI KUWAKABILI UGANDA - EDUSPORTSTZ

Latest

TAIFA STARS MBIONI KUWAKABILI UGANDA


TAIFA STARS MBIONI KUWAKABILI UGANDA, Taifa stars vs uganda chan, Sokabet Tanzania
Beti sasa kupitia http://sokabet.co.tz/

TAIFA STARS MBIONI KUWAKABILI UGANDA

Katika maandalizi ya mchezo wa kuwania kufuzu fainali za mataifa Bingwa Barani Africa CHAN 2023 baina ya Taifa Stars na Uganda,Meneja wa Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Nadir Haroub ‘Canavaro ametoa taarifa za maendeleo ya kambi hiyo,

Amesema kuwa wachezaji wote walifika kwa wakati na wanashiriki vyema mazoezi chini ya kocha Kim Poulsen ambaye amedhamiria kupata ushindi dhidi ya wapinzani wao , zaidi amewaomba wachezaji kucheza kwa uzalendo na kujituma ili kuweza kufuzu mashindano hayo.

Kwa upande wa wachezaji Shomari Kampombe ambaye ni Beki wa kulia wa Taifa Stars amesema kuwa mchezo utakuwa mgumu kwasababu wapinzani wao ni moja ya timu ngumu kwa upande wa Afrika Mashariki, hivyo wao kama wachezaji wanajukumu kubwa la kuhakikisha ushindi unapatikana katika mchezo huo.

Taifa Stars ilianza Kambi ya Maandalizi ya mchezo huo Jumatatu Agosti 22 katika Viwanja vya JK Park jijini Dar es salaam.

Stars itaanzia nyumbani Uwanja wa Benjamin Mkapa Jumamosi (Agosti 27), kabla ya kwenda Uganda kwa mchezo wa marudiano ambao ndio utaamua nani kutinga fianali za CHAN 2023 ambazo zitapigwa nchini Algeria.

Chakufurahisha zaidi kwa upande wa kubashiri ni kwamba Sokabet kampuni bora ya kubashiri Tanzania inakupa nafasi ya kuweka bashiri zako kabla ya mechezo kuanza (pre- match), na wakati mchezo unaendelea (live match).

Kikubwa zaidi ni kuwa Sokabet inatoa asilimia mia 100% kwa mtu ambaye anafanya wekezo lake kwa mara ya kwanza, pia 10% ya pesa ambayo utapoteza katika kabishiri zako kupitia michezo mbalimbali kama mpira wa miguu, casino, na michezo mingi iliyoko ndani ya tovuti ya Sokabet.

Tembelea tovuti ya sokabet au piga *149*35# kujiunga na kuweka bashiri zako kupitia kampuni ya Sokabet the best in Sports betting Tanzania.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz