MATOKEO Simba vs Ahsante Katoko, (Mchezo wa Kirafiki August 28,2022) - EDUSPORTSTZ

Latest

MATOKEO Simba vs Ahsante Katoko, (Mchezo wa Kirafiki August 28,2022)

MATOKEO Simba vs Ahsante Katoko, (Mchezo wa Kirafiki August 28,2022)

MATOKEO Simba vs Ahsante Katoko, (Mchezo wa Kirafiki August 28,2022)MATOKEO Simba vs Ahsante Katoko, (Mchezo wa Kirafiki August 28,2022)

Simba kucheza Mechi tatu za Kirafiki, Simba kucheza mechi 3 za Kirafiki, Simba kucheza Michezo ya Kirafiki, Simba kucheza Michezo 3 ya Kirafiki, Simba vs Al Hilal ya Sudan, Simba SC vs Al Hilal, Al Hilal vs Simba SC, Al Hilal vs Simba, Al Hilal Simba Sports Club, Simba vs Asante Kotoko ya Ghana, Simba vs Asante Kotoko, Simba SC vs Asante Kotoko Simba Sports Club vs Asante Kotoko, Asante Kotoko vs Simba SC, Asante Kotoko vs Simba, Simba SC vs AS Arta Solar 7 ya Djibouti, Simba vs AS Arta Solar 7, Simba Sports Club vs AS Arta Solar 7, AS Arta Solar 7 vs Simba, AS Arta Solar 7 vs Simba SC, AS Arta Solar 7 vs Simba Sports Club.MATOKEO Simba vs Ahsante Katoko, (Mchezo wa Kirafiki August 28,2022)

KIKOSI Cha Simba SC kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-2 katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Asante Kotoko kutoka Ghana mchezo uliopigwa Uwanja wa Al Hilal nchini Sudan.MATOKEO Simba vs Ahsante Katoko, (Mchezo wa Kirafiki August 28,2022)

Katika mchezo huo Steven Mukwala aliwapatia Ahsante Kotoko bao la kwanza dakika ya tisa baada ya walinzi wa Simba SC kuchelewa kuondoa hatari.

Augustine Okrah aliisawazishia Simba bao hilo dakika ya 19 baada ya kumalizia pasi ya mlinzi wa kulia Israel Patrick Mwenda.

Pape Sakho akaipatia Simba SC bao la pili dakika ya 26 baada ya kuwalamba chenga walinzi wa Ahsante Kotoko na kupiga shuti la chini chini lililomshinda mlinda mlango.

Clatous Chama akatupia bao la tatu kwa mkwaju wa penati baada ya Mshambuliaji Moses Phiri kufanyiwa madhambi ndani ya 18.MATOKEO Simba vs Ahsante Katoko, (Mchezo wa Kirafiki August 28,2022)

Chama akaipatia tena Simba bao la nne dakika ya 55 baada ya kumlamba chenga mlinzi wa Asante Kotoko kufuatia kupokea pasi kutoka kwa Peter Banda.

Baadae Steven Amankona akawapatia Ahsante Kotoko bao la pili kwa mkwaju wa penati dakika ya 78 baada ya Nassor Kapama kufanya madhambi ndani ya 18.MATOKEO Simba vs Ahsante Katoko, (Mchezo wa Kirafiki August 28,2022)

Katika mchezo huo, Kocha Zoran Maki aliwatoa Mohamed Ouatara, Phiri, Chama, Sakho na Ally Salim na kiwaingiza Peter Banda, Dejan Georgijevic, Jimmyson Mwanuke, Nelson Okwa na Ahmed Feruz.

KIKOSI Cha Simba SC kilichoanza dhidi ya Asante Kotoko kwenye mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki nchini Sudan, August 28,2022.

1:Ally Salim
2:Israel Patrick
3:Gadiel Michael
4:Henock Inonga
5:Mohamed Ouattara
6: Nassor Kapama
7: Pape Sakho
8:Victor Akpan
9:Moses Phiri
10:Clatous Chama
11:Augustine Okrah

Wachezaji wa Akiba walikuwa ni;
12:Ahmed Feruz
13:Jimmyson Mwanuke
14:Nelson Okwa
15:Dejan Georgijevic
16:Peter Banda

The post MATOKEO Simba vs Ahsante Katoko, (Mchezo wa Kirafiki August 28,2022) appeared first on Nijuze Mpya -| Pata Habari zote za Michezo kitaifa na Kimataifa, Tetesi na Usajili, Magazeti ya Michezo, Ratiba na Matokeo, Mahusiano Pamoja na Nafasi za Kazi.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz