Mo Salah Abaki Liverpool Kulipwa Tsh Milioni 982 Kwa Wiki - EDUSPORTSTZ

Latest

Mo Salah Abaki Liverpool Kulipwa Tsh Milioni 982 Kwa Wiki


Baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu wa kuendelea kuwatumikia Majogoo mpaka 2025,Mo Salah atakuwa analipwa mshahara wa pauni 350,000 kwa wiki.

Mshahara huo unaokadiriwa kuwa sawa na TSH milioni 982 kwa wiki utamfanya Mmisri huyo kuwa mchezaji wa Liverpool anayelipwa zaidi.




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz